Skip to content

Commit 24e405a

Browse files
committed
docs: remove merge conflict markers
1 parent acd12ae commit 24e405a

File tree

2 files changed

+1
-20
lines changed

2 files changed

+1
-20
lines changed

src/content/learn/thinking-in-react.md

Lines changed: 0 additions & 6 deletions
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -37,15 +37,9 @@ Anza kwa kuchora visanduku kuzunguka kila kijenzi na kijenzi kidogo kwenye kiigi
3737

3838
Kulingana na msingi wako, unaweza kufikiria kugawanya muundo katika vijenzi kwa njia tofauti:
3939

40-
<<<<<<< HEAD
4140
* **Programming**--tumia mbinu zile zile za kuamua ikiwa unapaswa kuunda kitendaji kipya au object. Mbinu moja kama hiyo ni [kanuni ya uwajibikaji mmoja (single responsibility principle)](https://en.wikipedia.org/wiki/Single_responsibility_principle), yaani, kijenzi kinapaswa kufanya jambo moja tu. Ikiwa kitaishia kukua, inapaswa kigawanywe kiwe vijenzi vidogo.
4241
* **CSS**--fikiria ni nini ungetengeneza viteule vya darasa. (Hatahivyo, vijenzi ni vidogo kwa kiasi fulani.)
4342
* **Design**--fikiria jinsi unavyoweza kupanga safu za muundo.
44-
=======
45-
* **Programming**--use the same techniques for deciding if you should create a new function or object. One such technique is the [separation of concerns](https://en.wikipedia.org/wiki/Separation_of_concerns), that is, a component should ideally only be concerned with one thing. If it ends up growing, it should be decomposed into smaller subcomponents.
46-
* **CSS**--consider what you would make class selectors for. (However, components are a bit less granular.)
47-
* **Design**--consider how you would organize the design's layers.
48-
>>>>>>> 38b52cfdf059b2efc5ee3223a758efe00319fcc7
4943

5044
Ikiwa JSON yako imeundwa vizuri, mara nyingi utapata kwamba inaelekeza kwa muundo wa vijenzi vya UI yako. Hiyo ni kwa sababu UI na miundo ya data mara nyingi huwa na usanifu sawa wa habari--yaani, umbo sawa. Tenganisha UI yako katika vijenzi, ambapo kila kijenzi kinalingana na kipande kimoja cha muundo yako wa data.
5145

src/content/learn/tutorial-tic-tac-toe.md

Lines changed: 1 addition & 14 deletions
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -283,17 +283,10 @@ Katika CodeSandbox utaona sehemu tatu kuu:
283283

284284
![CodeSandbox na msimbo wa mwanzo](../images/tutorial/react-starter-code-codesandbox.png)
285285

286-
<<<<<<< HEAD
287-
<<<<<<< HEAD
286+
288287
1. Sehemu ya _Files_ na orodha ya mafaili kama `App.js`, `index.js`, `styles.css` na folda inayoitwa `public`
289288
1. _Kihariri cha msimbo_ ambapo utaona msimbo wa chanzo wa faili uliyouchagua
290289
1. Sehemu ya _kivinjari_ ambapo utaona jinsi msimbo ulioandika utakavyonyeshwa
291-
=======
292-
=======
293-
1. The _Files_ section with a list of files like `App.js`, `index.js`, `styles.css` in `src` folder and a folder called `public`
294-
1. The _code editor_ where you'll see the source code of your selected file
295-
1. The _browser_ section where you'll see how the code you've written will be displayed
296-
>>>>>>> 38b52cfdf059b2efc5ee3223a758efe00319fcc7
297290

298291
Faili ya `App.js` inapaswa kuchaguliwa katika sehemu ya _Files_. Maudhui ya faili hiyo katika _mhariri wa msimbo_ yanapaswa kuwa:
299292

@@ -2255,13 +2248,7 @@ body {
22552248
22562249
</Sandpack>
22572250
2258-
<<<<<<< HEAD
2259-
<<<<<<< HEAD
22602251
Unapozunguka kupitia orodha ya `history` ndani ya function unayopitisha kwa `map`, hoja ya `squares` inapitia kila kipengele cha `history`, na hoja ya `move` inapitia kila kiashiria cha orodha: `0`, `1`, `2`, …. (Katika hali nyingi, ungehitaji vipengele halisi vya orodha, lakini ili kuonyesha orodha ya harakati utahitaji tu viashiria.)
2261-
=======
2262-
=======
2263-
As you iterate through the `history` array inside the function you passed to `map`, the `squares` argument goes through each element of `history`, and the `move` argument goes through each array index: `0`, `1`, `2`, …. (In most cases, you'd need the actual array elements, but to render a list of moves you will only need indexes.)
2264-
>>>>>>> 38b52cfdf059b2efc5ee3223a758efe00319fcc7
22652252
22662253
Kwa kila harakati katika historia ya mchezo wa tic-tac-toe, unaunda kipengele cha orodha `<li>` kinachojumuisha kitufe `<button>`. Kitufe kinakuwa na kihariri cha `onClick` kinachoitwa function inayoitwa `jumpTo` (ambayo huja kuwa umeitekeleza bado).
22672254

0 commit comments

Comments
 (0)